Tangazo la Nafasi za Kazi Iringa Dc | Job opportunity in Iringa
The Executive director of the Iringa District
council welcomes job applications from all Tanzanians with the qualifications
and ability to fill the position of special
secretary Grade III. Halmashauri ya
wilaya ya Iringa inawakaribisha watanzania
wote kutuma maombi ya kazi wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi ya Katibu Mahsusi daraja la III.
Applicants Qualifications | sifa za mwombaji:
Ø Awe amehitimu form four education na amehudhuria mafunzo
ya uhazili na kufaulu mtihani wa hatua ya
3.
Ø Awe amefaulu somo la hati mkato ya Kiswahili na kingereza
maneno 80 kwa dakika na awe amepata mafunzo ya computer kutoka chuo chochote
kinachotambuliwa na serikali
Ø Cheti katika program za: Windows, Microsoft office, Internet, email na publisher.
Click here to read more on PDF file/Bonyeza hapa kupata
taarifa zaidi kwa PDF
Or Read on PdF file below:
No comments:
Post a Comment
Lets hear your feedback!